Burudani

Mumbaji Phetty baada ya miaka 6 ya Udaktari arudi na ‘Kiranga Koma’ (Video)

Msanii wa muziki @phettyofficial amefunguka mengi kwenye exclusive na Bongo5 kuhusu kuweka pembeni muziki na kuwekeza kwenye elimu zaidi.

Muimbaji huyo ambaye anasimamiwa na @masauti_entertainment amesema aliamua kuchagua elimu kwanza kabla ya muziki kwa sababu aliona nafasi yake kwenye muziki haiwezi kuchukuliwa na mtu yeyote.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents