Burudani

Mungu ana Jinsia ya Kike – Harmonize (Video)

Staa wa Muziki wa Bongofleva Harmonize siku chache kupitia ukurasa wake wa Instagram aliweka Story juu ya mahisio yake kuwa mwenyezi Mungu ni Mwanamke, hii post imefanya watu wengi sana kushindwa kuvumilia hisia zao na kuona staa huyo kama anamkejeli Mwenyezi Mungu,

Mwanahabari Mwijaku kutoka Clouds media hakutaka kupitwa na jambo hilo baada ya kudai kuwa amefedheheshwa sana na hiyo post ya Harmonize na hakusita kumtafuta ili kumwonesha hisia zake juu ya hilo tukio alilolifanya Harmonize.

‘In human sense upatikanaji wa mwanadamu wowote unaanzia kwa Mwanamke, kwanini watu akitajwa Mwanamke aonekane kama amedogoshwa yani nyie mna mentality kuwa Mwanamke lazima adogoshwe, nikisema Mwenyezi Mungu anajinsia ya Kike unawezaje kuona amedogoshwa wewe ni nani umdogoshe” alisema Harmonize kwenye InstaLive akiongea na Mwijaku.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents