Burudani

Mungu ni Zee flani limekaa Mlimani lina Madevu – Harmonize (Video)

Staa wa Muziki Harmonize akiwa InstaLive na mtangazaji wa Clouds Media Mwijaku wakiendelea na Malumbano yao juu ya Post aliyoitoa Harmonize wa Kumfananisha Mwenyezi Mungu na Mwanamke.

Sipingani na Dini yangu kuwa Mungu afanani wala kufananishwa mimi nimetumia Human Sense kwanini watu wakitajiwa Mungu wanawazaga kama zee flani hivi limekaa Mlimani lina Madevu kwanini usiwaze kuwa labda Mungu ni Mmama atleast ina Make sense kwa sababu ni reproduction ya mwanadamu yeyote hatua kwa hatua inakamilika mikononi kwa Mama kwanini tusiwaze hivo, kwanini tujiwekee mentality yani kwamba Mungu ni Zee flani ndio maana leo hii Wanaume wanaruhusiwa kuwa na wanawake wawili ila Mwanamke kwanini haruhusiwi kuwa na wanaume wawili kwanini kama sio Mentality tu….

Bonyeza Link hapa chini kujionea Video yenyewe:

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents