Burudani

Muonekano wa ndege binafsi ya Drake, ndani kama Hoteli (Video)

Muonekano wa Ndege binafsi ya Drake wawavutia wengi, ndani nni kama Hoteli tu, Inaelezwa kuwa ndege hiyo binafsi imekuja kutokana na dili ambalo Drake alisaini na kampuni ya Cargo Jet, ambapo kampuni hiyo ya ndege ina makazi yake nchini Canada.

Inaripotiwa kuwa Mmiliki wa Cargo Jet, Ajay Virmani ameingia makubaliano ya kibiashara na Drake ya kutengenezewa ndege hiyo inatajwa kuwa ni moja ya makubaliano ya mkataba wao na Ndege hiyo ya Drake ni ya kipekee zaidi.

Kwa taarifa yako Drake anaimiliki hii ndege kwa asilimia 100 tofauti na mastaa wengine wanavyomioliki Private Jet zao kwa asilimia kadhaa

Drake aliwahi kusema kuwa “No Rental, no timeshare, no Co-owners” yaani hajakodi wala hakuna umiliki wa mtu zaidi ya mmoja.

Kwa mujibu wa Jarida linalotoa takwimu za Ndege duniani la GLOBALAIR.COM.

Ndege ya Drake AIRDRAKE inashika nafasi ya nne kwa kuwa ndege inafsi ghali zaidi duniani, ya kwanza ni ya mfanyabiashara ya Kirusi

1. Alisher Usmanov ambayo thamani yake inatajwa kuwa Dola milioni 400 ambazo ni zaidi ya trilioni 1. 09

2. Mfaya biashara wa HongKog China Joseph Lau ambayo gharama yake ni dola milioi 367 sawa na Tsh trilioni 1.01

3. kiongozi wa kisiwa cha Borneo kilichopo huko Malaysia sultan of brunei ambayo i dola milioni 230 sawa na Tsh bilioni 627

4. AirDrake aina ya Jumbo Jet yenye gharama ya dola milioi 185 sawa na Tsh bilioni bilioni 505.

Kwa Mujibu wa Jarida la GLOBALAIR.COM.

Staa gani wa Tanzania ataweza kumiliki Ndege kama hii ya Drake AIRDRAKE??

Imeandikwa na @el_mando_tz

https://www.instagram.com/reel/C_u4oOrNLaT/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents