Muziki
MUSIC AUDIO: Daven – SOOO
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Daven Ameachia ngoma yake mpya inaitwa ‘SOOO!’, Angependa utumie dakika chache kuisikiliza.
Mdundo wa ngoma hii, Umetengenezwa na Producer Bobo Made It.
Unaweza kusikiliza ngoma yote kwa kubofya link hapa chini.