Muziki

MUSIC AUDIO: Dicksama Ft. Mr Blue – KUNESA

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Dicksama akiwa na mkongwe wa muziki wa Rap Tanzania, Mr Blue wameachia audio ya ngoma mpya ‘kunesa’ na wanakukaribisha kusikiliza mkwaju huo kwa kubofya link hapa chini;

Producer wa ngoma hii ni Yakka Boom kutoka studio za New Sound, Enjoy.

Related Articles

Back to top button