Muziki
MUSIC AUDIO: Future Destin Ft. Jack Manasi – MIKYENGYE
Msanii wa Muziki wa Hip Hop kutoka DR Congo, Future Destin ameachia audio yake mpya inayoitwa ‘MIKYENGYE’ ambayo amemshirikisha Jack Manasi.
Mdundo wa ngoma hii umetengenezwa na Producer Amir kutoka Tanzania, Bofya link hapa chini kuisikiliza ngoma hiyo;