MUSIC AUDIO: G-Mwamba Ft Fred Music – TUTAWEZANA

 

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, @g_mwamba_official akiwa na mwenzie Fredy Music wameachia wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la ‘TUTAWEZANA’ na wanakukaribisha uusikilize wimbo huo na kisha utoe maoni yako.

Producer wa wimbo huu ni yeye mwenyewe, @g_mwamba_official unaweza kuusikiliza wimbo wote kwa kubofya link kwenye Bio yake hapa Instagram au Bofya link hapa chini;

Related Articles

Back to top button