Burudani
MUSIC AUDIO: Joshua Ngelendo Ft. Diana Benjamin – Wema wa Mungu
Msanii wa muziki wa Injili Tanzania, Joshua Ngelendo (@officialaggerjay) ameachia audio ya wimbo wake mpya wa ‘Wema wa Mungu’ na anakukaribisha uusikilize kwa kubofya link hapa chini;
Kwenye wimbo huu amemshirikisha Mtumishi Diana Benjamin, Enjoy.