Muziki
MUSIC AUDIO: M Nex Nex I – SING FOR U
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, M Nex Nex I ameachia Audio ya wimbo wake mpya wa ‘Sing For U’ na anakualika uusikilize kwa kubofya link hapa chini.
Mdundo wa hii ngoma umegongwa na @Hammydozz, Huku Mixing na Mastering ikifanywa na Topaz Beatz, Enjoy.