Muziki

MUSIC AUDIO: Mariana – NAOLEWA

Msanii wa kike wa muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi, Mariana (@Mariana__berry) ameachia audio ya ngoma yake mpya ya ‘Naolewa’ na anakukaribisha uisikilize kwa kubofya link hapa chini.

Mdundo wa ngoma hii umetengenezwa na Producer @Bannymusic.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents