Muziki

MUSIC AUDIO: Robby Vibe – Mona

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya muziki huo hapa Tanzania, Robby Vibe ameachia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la MONA.

Kuangalia kusikiliza Audio ya ngoma hiyo mfuate katika akaunti yake ya YouTube kwa jina la  Robby Vibe.

Pia unaweza kumfuata katika Instagram akaunti yake kwajina hilo hilo @robbyvibe

 

Related Articles

Back to top button