Muziki
MUSIC VIDEO: Alenike X Eyes – AIBU
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alenike akiwa na Eyes wameachia video ya wimbo wake wa ‘AIBU’ na anakukaribisha utazame video hiyo kwa kubofya link hapa chini;
Producer wa ngoma hii ni Momba na video imeongozwa na Otieno, Enjoy.