Msanii wa muziki wa Hip Hop hapa Bongo, Rapper @babayega_og ameachia video ya ngoma yake mpya ya ‘SIWEZI’ na anaomba mdau wa muziki utazame kichupa chake kwa kubofya link hapa chini.
Kwenye wimbo huo kamshirikisha mwanadada Lovely, Na video imeongozwa na Dee Rowland huku mdundo ukigongwa na Producer Mgwabati, Enjoy.