MUSIC VIDEO: Baby Jo Ft Fredoo & April – KARIBU TANZANIA

 

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Baby Jo ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Karibu Tanzania’ ambao unahamasisha utalii.

Kwenye video ya wimbo amewashirikisha Fredoo na April, Bofya link hapa chini kutazama video hiyo.

Related Articles

Back to top button