MuzikiVideos

MUSIC VIDEO: Bei Mbaya – KATI

Msanii wa muziki wa Singeli Tanzania, Bei Mbaya amefungua mwaka 2022 kwa kuachia video ya ngoma yake mpya ya ‘KATI’ na anakukaribisha uitazame kwa kubofya link hapo chini.

Mdundo wa ngoma hii umetengenezwa na Producer TallaDucer huku video ikiongozwa na BrownFx, Enjoy muziki mzuri kwa kubofya link hapa chini

Related Articles

Back to top button