MUSIC VIDEO: Benny Shizzol – NDOTO

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, @lam.Benny_shizzol anakukaribisha utazame video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘NDOTO’.

Video ya wimbo huu imeongozwa na Director @Jay-shot-it huku audio ikitengenezwa na @RobbyVibe.

Bofya link hapa chini kutazama video hiyo, Au nenda kwenye Bio ya @lam.benny_shizzol hapa Instagram utazame kazi hiyo.

Related Articles

Back to top button