Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Chusse Tz ameachia video ya wimbo mpya unaokwenda kwa jina la ‘IZAMBERA’, Bofya link hapa chini kutazama video hiyo;
Muongozaji wa video hii ni Director Ben na Producer ni Mupha kutoka Situdio za BMW Music kwa Mkubwa Fella.




