Burudani

MUSIC VIDEO: Cofted Ft One 6 – Wakati

Mambo vipi mdau wa burudani? Kuna mzigo mpya wa video ya wimbo wa muziki wa Bongo Fleva, Inaitwa ‘WAKATI’ kutoka kwa @official_cofted akiwa amemshirikisha mkali wa vocal One 6. Video imeongozwa na Director Beel na Jamaa yupo chini ya Lebo ya Muziki ya GMF kutoka Iringa Tanzania.

Kuangalia video bofya HAPA

Related Articles

Back to top button