MUSIC VIDEO: Crish – SWEET BABY

Mdau wa muziki wa Bongo Fleva unakaribishwa kutazama video ya ngoma mpya ya SWEET BABY kutoka kwa msanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva, Crish.

Bofya link hapa chini kutazama ngoma hiyo; Usisahau pia ku-subscribe chaneli yake ya YouTube kwani Mwisho wa mwezi huu anaachia kazi nyingine mpya.

Related Articles

Back to top button