Muziki
MUSIC VIDEO: Diaz Man – KWANI BEI GANI?
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, @Diazman_Tz ameachia video ya wimbo wake wa ‘Kwani Bei Gani?’ na anakualika utazame kichupa hicho kwa kubofya link hapa chini.
Producer wa ngoma hii ni @stuta_midundo na video imeongozwa na @director_deemoolah, Enjoy.