Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kuachia ngoma mpya, Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Dicksama amemvuta Rapper Mabeste kwenye mkwaju wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘CHUKI’.
Producer wa ngoma hii ni Black Boy na video imeongozwa na Eddy, Bofya link hapa chini utazame kichupa hicho;