Habari
MUSIC VIDEO: Dogo Sillah – Kibaka
Lebo ya Muziki ya RS Family inakukaribisha mdau wa muziki na burudani utazame video ya msanii wao, Dogo Sillah inayokwenda kwa jina la ‘KIBAKA’ .
Producer wa ngoma hii ni Chiby na aliyeongoza video ni Director Billy Lenz.