Muziki
MUSIC VIDEO: Dynamic – JASHO
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Grayson David almaarufu Dynamic ameachia kichupa cha wimbo wake mpya wa ‘JASHO’ na anakualika uitazame video hiyo kwa kubofya link hapa chini;
Mdundo wa ngoma hii umesimamiwa na Beat Killer huku Mastering na Mixing zikipita mikononi mwa @bugalee_.
Aliyeongoza kichupa ni Director Mufasa, Enjoy.