BurudaniVideos

MUSIC VIDEO: Greez Son – No pain again

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva anayefanya vizuri kwasasa mkoani Morogoro, Greez Son anakukaribisha utazame kazi yake mpya na ya kwanza kuiachia kwa mwaka huu ‘NO PAIN AGAIN’.

Mdundo wa ngoma hii umegongwa na Producer Gedo na kufanyiwa mixing na Terriyo, Na video imeongozwa na Director Bunginda. Bofya link hapa chini utazame video hiyo na pia usisahau kuacha komenti yako na ku-subscribe chaneli yake ya YouTube ili uweze kuona na nyimbo zake nyingine.

Related Articles

Back to top button