Muziki
MUSIC VIDEO: Jila LeGrand Ft. Sancho Alone – SIO SHIDA
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi kwenye kiwanda cha burudani Tanzania, Jila LeGrand ameachia video ya ngoma yake mpya ya ‘SIO SHIDA’ na anakukaribisha kuitazama kwa kubofya link hapa chini;
Kwenye ngoma hiyo kamshirikisha Sancho Alone, Enjoy.