Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Jimmy Designer (@jimmytzjr) ameachia video ya ngoma yake mpya ya ‘NIBAKISHIE’ na anakukaribisha utazame kichupa hicho kwa kubofya link hapa chini.
Kwenye wimbo huo amemshirikisha rapper Mr Blue na producer wa ngoma hii ni Geof Master, Enjoy.