Burudani
MUSIC VIDEO: Joshua Ngelendo – Jemedari
Msanii wa muziki wa Injili Tanzania, @JoshuaNgelendo ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘JEMEDARI’, Bofya link hapa chini kuitazama.
Producer wa ngoma hii ni Jerick na video imeongozwa na Director Laur jr.