Msanii wa muziki wa Gospel Tanzania, Kelvin Weber (@the_voiceofafrica1) ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Nimebarikiwa’ kama sehemu ya kutoa huduma ya kiroho hivyo anakukaribisha utazame video hiyo hapa chini.
Msanii huyo kwasasa yupo chini ya Lebo ya muziki ya @_pioneer.music.house , Na Producer wa ngoma hii ni @mixingdoctor.
Video ya ngoma hii imeongozwa na Director @jabulant_ chini ya studio za @jb_international_media_house, Enjoy.
Cc @prophetdavidrichard