Burudani

MUSIC VIDEO: Lakisha – Gone Too Bad

Msanii wa kike wa muziki wa Hip Hop anayefanya vizuri kwasasa, Lakisha ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘GONE TOO BAD’, Kikubwa anakuomba utazame video hiyo kisha utoe maoni yako.

Bofya link hapa chini utazame video hiyo ambayo imeongozwa na Director Ezra Brown na mdundo ukigongwa na Producer Sampamba, Enjoy.

Related Articles

Back to top button