Burudani

MUSIC VIDEO: Limo – My Sweet

Tazama kichupa kipya cha ‘My Sweet’ kutoka kwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Limo.

Mdundo umegongwa na Hansi Killer na video imeongozwa na Director YX, Bofya link hapa chini kutazama full video au tembelea kwenye Bio yake kule Instagram jina @limolitambo kisha bofya link kutazama video hiyo;

Related Articles

Back to top button