BurudaniHabari

MUSIC VIDEO: Lola Mziwanda Ft. Squeezer Boy – Hiyo Kitu 

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni Video Vixen aliyewahi kufanya kazi na wasanii mbalimbali wakubwa hapa Tanzania, Lola Mziwanda ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘HIYO KITU’, Bofya link hapo chini utazame kichupa hicho;

Mrembo @lola_Mziwanda kwenye ngoma hii kamshirikisha Squeezer Boy.
Producer wa ngoma hii ni @myama_pon_de_ting na Mixing imefanywa na @sam_mix_it huku video ikiongozwa na @director_cameroon, Enjoy.

Related Articles

Back to top button