Muziki
MUSIC VIDEO: Mecky Wayne – DEAR Ex (Skania Bovu)
Msanii wa muziki wa Hiphop/Bongo Fleva MECKY WAYNE, ameachia video ya ngoma yake mpya ya ‘Dear Ex’ na anakukaribisha utazame kichupa hicho kwa kubofya link hapa chini;
Mdundo wa ngoma hii umegongwa na Producer Gkifaa na video imeongozwa na Director Alen B, Enjoy.