Muziki
MUSIC VIDEO: Meek Jeddy Ft. Feko Amadan – NITASEMA
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Meek Jeddy ameachia video ya ngoma yake mpya ya ‘NITASEMA’ na anakualika utazame kichupa hicho kwa kubofya link hapa chini;
Kwenye ngoma hii amemshirikisha Feko Amadan, Enjoy.