Muziki
MUSIC VIDEO: Mwamba Ft. Jayna – GIVE ME A SIGN
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Mwamba Nyanda amefunga mwaka 2022 kwa kuachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Give Me A Sign’ na anakualika uitazame kwa kubofya link hapa chini;
Audio ya ngoma hii imetengenezwa na Slim nipe Beat na Video imeongozwa na Director BroBla Film.