Burudani
MUSIC VIDEO: Nay wa Mitego aachia ngoma mpya ‘Mwaka wa Roho Mbaya’ awataja tena BASATA
Rapa Ney wa Mitego ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Mwaka wa Roho Mbaya’ ambapo kwenye mashairi ya wimbo huo kafunguka mambo kibao ikiwemo Baraza la Sanaa Taifa (BASATA).
Kwenye moja ya mashairi ya wimbo huo, Nay amesema “Huu ndio mwaka wenye utata unatoa ngoma ina-hit halafu inasifiwa na BASATA”.
Hii sio mara ya kwanza kwa Nay wa Mitego kuwataja BASATA kwenye nyimbo zake kwani alishawahi kulitaja baraza hilo kwenye nyimbo zake za nyuma.
Ebwanaeee! Kama veeepee ni veeeepeeee tu bwana!
Mistari tulishaishiwa wa bongo ni kukurupuka tu kama kuku wa mayai anavyotoka nje gwegwegweeeeee paah
HHahah mwaka Wa roho mbaya
Wasanii wetu siku izi bila kiki hawatoi nyimbo alafu mnatuambia bongo fleva inakua
FREENATION
Anajiamini na anachokifanya good boy
mponze ivyo ivyo mwenzako
NeY 👍 👍
we noma
pia kbs bongo moto,!!!!!
Qalii saaana
achaa na muzik fathee
True boy
Tatizo la huyu anafata mikumbo tu afu anajiita mbabe
Hana jipya najua mistari yake ndo ile ile ya Fulani kavaa kikuku, achanganye Na BASATA ili apate Kiki kwao nyimbo iuze
Nomaa sana trueboy on fireeee