Msanii wa muziki wa Injili Tanzania anayekuja kwa kasi kwenye tasnia hiyo, Obby Alpha (@obbyalpha) ameachia video ya wimbo wake mpya ‘WASHANGAZE’ na anakualika uitazame video hiyo kwa kubofya link hapa chini;
Audio ya wimbo huu imetengenezwa na Producer @Terriyomonster na video imeongozwa na Director @joowwzey_tz.
Unaweza pia kuitazama video ndefu kwa kubofya link iliyopo kwenye Bio yake Instagram anatumia @obbyalpha, Nenda kasikilize ili uendelee kubarikiwa zaidi, Enjoy.