
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, @OmmyBoi_mpf akiwa amemshirikisha @belle9tz anakukaribisha utazame video ya ngoma yake mpya ya ‘HAITOSHI’.
Mdundo wa ngoma hii umegongwa na Producer @iamcukie_ huku video ikiongozwa na Director @director_kilonzo; Bofya link hapa chini kutazama video hiyo pia usisahau kuacha kukomenti yako;
Au pia unaweza kupitia link iliyopo kwenye Bio yake @ommyboi_mpf hapa Instagram.