Msanii wa muziki wa Injili Tanzania, Peter Lubango (@peter_lubango) ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘NAPENDWA’ na anakukaribisha uitazame video hiyo kwa kubofya link hapa chini;
Producer wa wimbo huu ni Blaq na video imeongozwa na @majagiking na kuhaririwa na @mjusi_tz.
Cc: Colorist @mudyahmedy_ & Gaffer @iamdavic.