Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rapa Pit Whizzy anakukaribisha utazame video ya ngoma yake mpya ‘Right Here’ akiwa amemshirikisha Allim.
Video ya ngoma hii imeongozwa na Director Beel, Bofya link hapa chini kusikiliza kazi hiyo, Pia usisahau kuacha maoni yako, Baada ya kumaliza kusikiliza.
Producer wa ngoma hii ni ItzPluspr.