MUSIC VIDEO: Plan Madini – Niroge

Anaitwa Plan Madini moja kati ya wasanii wa muziki wa Bongo Fleva waliofanya vizuri sana kwenye gemu kwa mwaka 2021.

Hapa anakukaribisha ufunge mwaka kwa kutazama video ya wimbo wake mpya wa ‘NIROGE’.

Mdundo umegongwa na Java na kufanyiwa mixing na Mr T Touch, Huku video ikiongozwa na Joowzey.

Gusa link hapa chini kutazama video hiyo;

Related Articles

Back to top button