Muziki
MUSIC VIDEO: Rebeccah Muhumpa Ft. Madam Martha – MUNGU ATATENDA
Mwanamuziki wa kike wa muziki wa Injili Tanzania, Rebeccah Muhumpa anakukaribisha utazame video ya kazi yake mpya ya ‘MUNGU ATATENDA’ akiwa amemshirikisha Madam Martha.
Bofya link hapa chini kutazama;
Director wa wimbo huu ni HASSAN MBANGWA na Producer ni MANKA, Enjoy.