Muziki
MUSIC VIDEO: Simba Mwala – HUYU
Msanii wa muziki wa Singeli, Simba Mwala ameachia video ya ngoma yake mpya ya ‘HUYU’ na abakualika uisikilize kwa kubofya link hapa chini;
Producer wa ngoma hii ni DJ Msala na video imeongozwa na Mr Effects, Enjoy.