Muziki

MUSIC VIDEO: TENI – Lanke

Staa wa muziki kutoka Nigeria Teniola Apata maarufu kama Teni The Entertainer amerudi kwa kishindo msimu huu wa majira ya joto kwa kuachia Wimbo uitwao ‘Lanke’ ambao umetayarishwa na Blaisebeatz ambaye ni mshindi wa tuzo nchini humo.

Ngoma hiyo ya Lanke ni ina midundo ya Afropop, iliyofanywa kwa ustadi mkubwa sana.Na video yake imetengezwa kwa mandhari nzuri ya kiangazi.

Teni ambaye hapo awali alitoa ngoma ya No Days Off mapema mwaka huu na msanii wa Marekani, Dojacat pamoja na Cheekychizzy. anajiandaa kudondosha kazi yake kubwa mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents