Muziki
MUSIC VIDEO: Ucho – KIMBAUMBAU
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ucho ameachia video ya ngoma yake mpya ya ‘KIMBAUMBAU’, Bofya link hapa chini kutazama video hiyo.
Audio imefanyika nchini Kenya katika studio za Legrand na video imefanyika Tanzania ikiongozwa na Director @kellyfilm_, Enjoy.