Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Wamtei anakukaribisha utazame video ya wimbo wake mpya wa ‘NIITE’ akiwa amemshirikisha mrembo Naksha.
Video ya ngoma hii imeongozwa na Golden na Mdundo umegongwa na Rama genius kutoka Studio za Killer Record. Bofya link hapa chini kutazama video hiyo;