TechnologyVideos

MUSIC VIDEO: Waristar – X-Mas & Mwaka mpya

Katika kipindi hiki cha kusherehekea msimu wa Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya, Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Waristar anakukaribisha amekuletea zawadi ya video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘X-Mas na Mwaka Mpya’ na anakukaribisha uutazame hapa chini;

https://youtu.be/5m7pq4yVYDE

Video ya ngoma hii imeongozwa na Kilonzo huku Audio ikigongwa na Sam Touch.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents