Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Wizz Star amemvuta Suma Mnazaleti kwenye remix ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la ‘NICHEKECHE’ na anakukaribisha utazame video ya wimbo wake huo mpya.
Bofya link hapa chini kusikiliza wimbo huu, Pia usisahau kuacha comment yako kule kwenye channel yake ya YouTube…