BurudaniHabari

MUSIC VIDEO: Xander Cybacon – Shuka

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva anayekuja kwa kasi kwenye Tasnia ya muziki huo Nchini Tanzania, Xander Cybason (@xander.cybacon) ameachia video ya ngoma yake mpya ya ‘SHUKA’ na anakukaribisha uitazame kwa kubofya link hapa chini.

Producer wa ngoma hii ni Josnict na video imeongozwa na Director Sam G, Enjoy.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents