MUSIC VIDEO: Yagga – Ninogeshe

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, @official_king_yagga ameachia video ya wimbo wake mpya wa Ninogeshe.

Mdundo wa kazi hii umepikwa na @producer_mou huku Mixing na Mastering ikifanywa na @banny_music.

Video nayo imeongozwa na @lucca_swahili, Unaweza kuitazama full video kwa kubofya link kwenye Bio ya @official_king_yagga au bofya link hapa chini..

Related Articles

Back to top button